John 7:41-42

41 aWengine wakasema, “Huyu ndiye Al-Masihi!”

Lakini wengine wakauliza, “Je, Al-Masihi kwao ni Galilaya?
42 bJe, Maandiko hayasemi kwamba Al-Masihi atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?”
Copyright information for SwhKC